Reader Settings

“Kabla sijaendelea kuelezea naomba kuuliza swali?”Aliongea The First Black kwa wasiwasi.

“Unaweza kuuliza , lakini ni swali moja tu nakuruhusu”Ilisikika sauti ya Athena ndani ya chumba hiko cha hoteli na The First Black alivuta pumzi.

“Kwa miaka mingi nimekuwa nikiishi chini yako na kukutii kwa kila maelekzo uliokuwa ukinipatia na kuhakikisha nakupatia majibu ambayo yanakuridhisha , lakini pia niliamini katika kichwa changu unao uwezo wa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next