Reader Settings

“Ndio kuna faili moja sikukukabidhi wakati nakuachia ofisi”Aliongea Meshimiwa Kigombola na kumfanya Mheshimiwa Senga kuvuta pumzi.

“Naweza kuliona hilo faili sasa hivi?”

“Ndio inawezekana na ndio maana niko hapa”Aliongea mheshimiwa na kisha akatoa Flash Disk kwenye mfuko wa koti lake na kumpatia.

“Nitakuelezea kwa kurahisisha kilicho humo ndan, kiufupi ni kwamba wakati nilipokuwa madarakani nilipokea ombi kutoka kwa Raisi wa Marekani juu ya ujenzi wa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next