Gari ambayo ilikuwa imekuja kwa ajili ya kuchukua vitu vya kusafirisha ilikuwa ishaondoka tayari na vitu vingi ambavyo vilichukuliwa ndani ya nyumba hio ni nguo na baadhi ya vitu vya wanafamilia vile binafsi sana.
Wakati uhamishaji unaendelea kwa upande wa Bi Wema na Blandina waliamua kuandaa kabisa chakula kwa ajili ya mchana , ili wakiondoka wawe wameshiba kabisa , kwani muda ulikuwa umeeenda sana.
Saa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments