Edna alikuwa ashaandaa zawadi tayari kwa ajili ya Najma na kitendo cha kumuacha Najma sebuleni ilikuwa ni Kwenda kuchukua tu na kurejea sebuleni , lakini sasa baada ya Edna kuchukua mkoba ambao alikuwa amehifadhi zawadi kwa ajili ya Najma , ile anatoka alimuona Najma akikatiza uelekeo wa Kwenda upande wa chumba cha Roma na moyo wake ulipiga kwa nguvu kwani hakujua ni jambo gani Najma …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments