Reader Settings

Kiasi alichotaja Nasra kilikuwa ni kikubwa mno na Najma hakuwa tayari kukubaliana na rafiki yake.

“Nasra Hapana”

“Najma usiwe na wasiwasi , kumbuka jana usiku nilichokuambia, tuko Pamoja mpaka mwisho”Aliongea Nasra huku akimshika mkono Najma.

“Sawa Miss Nasra ni maamuzi mazuri , na niwahakikishie matibabu kwa ndugu yenu yataendelea kwanzia sasa”Aliongea Dokta Issay na sura yake ya kifisadi

“Huyu mtoto mkali , ana moyo mzuri …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next