Reader Settings

Siku ileile Najma anagundua kuhusu mahusiano ya Roma na Rafiki yake Nasra , upande wa ofisini kwa Nasra alionekana kwenye mawazo, Nasra alikuwa akifikiria mambo mawili kwa wakati mmoja na jambo la kwanza ni juu ya Roma kuwa mume wa Edna na kutokufahamu kwa muda mrefu , lakini pia alikuwa akifikiria mwisho wa mwezi alioahidiana na Roma kwa ajjili ya kumpeleka kwao kuonana na mama …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next