Reader Settings

Roma baada nya kuona wanawake hao wakiwa mbele yake, alifanya maamuzi ya kutotoka kwenye gari kwanza ili kuangalia kile kinachoendelea na zilipita kama dakika tano hivi ya Edna kuongea na Najma, na kwa upande wa Najma alionekana kutingisha kichwa kama vile mtu aliekuwa mbele ya raisi nchi akipokea maagizo.

Yaani kwa maneno marahisi Roma alimuona Najma akiitikia kama vile Edna alikuwa ni bosi wake na …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next