Siku iliofuata Edna aliamka mapema sana saa kumi na mbili za asubuhi Edna Pamoja na Suzzane walikuwa ndani ya Mbagala Rangi tatu wakiwa kwenye gari aina ya V8 na gari hio waliisimamisha mbele ya geti jekundu mtaa wa Bias Rangi tatu Tanesco.
Edna muda wote tokea anakaribia ndani ya eneo hilo , ni kama kumbukumbu za miezi iliopita zilikuwa zikimjia , licha ya kwamba siku …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments