Reader Settings

Edna alishangazwa na jibu la Najma lakini pia namna alivyokuwa anajiamini mbele yake na moja kwa moja aliona mapenzi ya dhati Najma aliokuwa nayo juu ya Roma mume wake.

“Najma nataka mimi na wewe tuwekeane ahadi”Aliongea Edna na kumfanya Najma kushangaa , hakujua Edna alikuwa akitaka kuwekeana ahadi gani na yeye ila alitaka kuisikia kabla ya kutoa maamuzi.

“Nataka unihakikishie kama Roma hatokutafuta Maisha yako …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next