Edna alimwangalia Roma na kisha pasipo ya kuonyesha mabadiliko yoyote aliendelea na safari yake na kuingia kwenye lift na Roma alitabasamu na kisha alitembea mpaka kwenye ofisi ya Dorisi kwa ajili ya kumsalimia , lakini baada ya kufika ofisini kwake hakumkuta na aligeuza kuelekea kwenye idara anayofanyia kazi.
“Recho naona Ernest amekuwa na ukaribu mno na Benadetha?”Aliuliza Roma baada ya kufika kwenye meza ya Recho …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments