Ni muda wa saa mbili usiku , familia nzima ilikuwa mezani kasoro Roma peke yake ambaye aliaga tokea saa kumi na mbili kama anatoka na bado hakuwa amerudi.
Edna alikuwa akila chakula mdogo mdogo pasipo ya kuwa mchangiaji wa stori , alionekana kuwa mpole kuliko isivyokuwa kawaida , jambo hilo lilimfanya Blandina moyo wake kuuma , kama mama aliona Edna anateseka na kutokuwepo kwa Roma …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments