Reader Settings

((((11 YEARS AGO(MIAKA KUMI NA MOJA ILIOPITA ANAELEZEA MELLISA)

Ni tarehe ishirini na tatu kuamkia ishirini na nne mwezi wa kumi na mbili ndani ya jimbo la Texasi jijjini Dallas , ndani ya makazi ya watu, sehemu inayofahamika kwa jina la Greenville Avenue muda wa saa sita usiku.

Mwanamama wa umri wa miaka arobaini hivi aliekuwa akifahamika kwa jina la Mary , alionekana akishituka kutoka …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next