“ Huyo mwanamke ni mjamzito , Anaitwa Rahel Adebayo ,ni mtanzania mwenzako”Aliongea Cohen
“Ndio Komredi , sijakupata vizuri”
“Ndio Camillius huwezi kunielewa ila ninachojaribu kukuambia ni kwamba mtoto atakaezaliwa na huyo mwanamke lazima awe kwenye mpango LADO”Aliongea na kumfanya Afande Kweka kushangaa Zaidi lakini Cohen hakujali.
“Ana ujauzito wa miezi miwili sasa na anatarajiwa kujifungua kabla ya tarehe 8 mwezi march , hivyo Camillius kazi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments