Roma ilibidi atafute sehemu nzuri Zaidi kusimamisha gari , kwani sehemu ambayo alisimamisha haikuwa kwa ajili ya megesho, alitembea mita mia mbili hivi karibu na kiwanda cha Shelys na kusimamisha gari pembeni na kisha akashuka na kuanza kutembea kwa miguu kurudi nyuma.
Upande wa Edna kitendo cha kushuka kwenye gari tu ni kama Lanlan alihisi uwepo wake kwani aliangalia upande wa Edna na kumuona na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments