Kila mmoja alikuwa na furaha kubwa sana baada ya upasuaji uliochukua takribani masaa kumi na mbili kukamilika , Najma na Nasra walitoa machozi ya furaha kwani masaa kadhaa nyuma walionekana kuwa katika wasiwasi baada ya Juma kuingizwa katika chumba cha upasuaji.
“Najma kwasasa huna haja ya kuwa na wasiwasi tena , kaka yako ashapandikiziwa figo na atakuwa mzima baada ya wiki tatu kukaa hapa hospitalini …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments