Edna hakutaka kumuachia kabisa Lanlan kuondoka na kwa Lanlan ilikuwa hivyo hivyo , hakupenda kuachiana na Edna na kurudi Bagamoyo na ilibidi Edna amshawishi Qiang mlezi wa Lanlan kukubali kubaki kwa siku kadhaa nyumbani kwake mpaka pale babu yake na Lanlan atakaporiudi.
Qiang licha ya mwanzo kumhofia Edna lakini aligudua Edna ni mtu mzuri hivyo ilibidi akubali.
“Mama , Lanlan anapenda bahari na anapenda na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments