“Linda unamaanisha nini kwamba ulikuwa ni mpango wako?”Aliuliza Raisi Senga kwani hata yeye alikuwa akimjua Linda na tena sio kumjua tu kama msaidizi wa karibu na mtu wa kuaminika kwa Senior , lakini pia alikuwa akimfahamu Linda kama mchepuko wa raisi Jeremy.
Mheshimiwa Jeremy alikuwa haamini kama ni kweli Linda alikuwa akijua mpango LADO muda wote na kumkalia kimya, alitaka kusikiliza kila kitu ndio aamini …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments