1997
Ni mwezi wa kumi na moja ndani ya ofisi ya mkuu wa majeshi , Jenerali Cammillius Kweka anaonekana Linda alievalia suti ya rangi nyeusi akiwa aneo la Mapokezi akiwa ameshikilia mkoba wake.
Linda alionekana kuwa na wasiwasi kweli licha ya kwamba yupo eneo ambalo lina ulinzi mkubwa sana nchini kutokana na maamuzi yote ya kijeshi kufanyikia hapo , lakini pia sehemu ambayo wafanyakazii wake …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments