Reader Settings

Edna alijikuta akiwa kwenye wakati mgumu na kushindwa kujua ni maamuzi gani anapaswa kufanya , alijiona kaingia kikamilifu kwenye mtego wa mwanaume aliekuwa mbele yake.

Kwa upande wa mzee wa kichina ambaye ni babu yake Lanlan alionekana kumwangalia Edna kwa Kejeli, aliona kabisa mwanamke huyo hatokuwa na uwezo kabisa wa kumchukua Lanlan na kumucha Rom.

Mlezi pia wa Lanlan , Qiang hakujua ni maamuzi gani …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next