Edna hakutaka kumueleza Roma juu ya sharti alilopewa na babu yake Lanlan kabisa , alijiambia itakuwa siri yake , licha ya kwamba swala hilo lilikuwa likimuuma sana lakini alijikaza mbele ya Roma.
Simu ya Roma ilianza kuita mfululizo baada ya kukaribia nyumbani na kuichukua huku akiendesha gari na mkono mmoja na baada ya kuangalia jina alijikuta akishangaa kwani jina lilikuwa la Magdalena.Alimwangalia Edna na kisha …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments