“Swala la urusi ni kama ilivyo kwa Mheshimiwa Jeremy”Aliongea Pastor Cohen
“Unamaanisha?”
“Kabla ya mpango LADO haujaanza kuna nyaraka ya siri ambayo ilitiwa Saini na mataifa yote kumi na tisa kasoro Urusi, kwenye kikao cha mwisho kilichofanyikia Itally kikiongozwa na The First Black , wakati huo akiwa ni Director wa CIA”Aliongea na kumfanya Afande Kweka kushangaa.
“Kwahio unamaanisha kwamba , Urusi pia kwenye nyaraka hio …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments