Reader Settings

“Mr Abubakari?”Aliongea Mage kwa mshangao na kumfanya hata Magdalena aliekuwa ameangalia upande mwingine kugeuza macho.

“Afande Mage , mimi nipo tayari kutoa Ushahidi wa tukio zima , kwani namjua muuaji”Aliongea Abubakari pasipo kujali mshangao wa Mage.

“Afande tutaondoka na Mr Abubakari pamoja na hawa wadada wawili kwa ajili ya maelezo”Aliongea Mage akimpa kazi hio askari wa chini yake na yule askari aliwapa ishara na mwili …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next