Kila mtu alikuwa kwenye mshituko mkubwa , ni kama hawaamini kama ni kweli Roma alikuwa ashaua, tena sio kuua mtu wa kawaida bali ni ndugu yake , Blandina ndio aliekuwa kwenye majonzi kuliko watu wote , kwani swala la Roma kumuua kaka yake likuwa ni swala kubwa sana na aliamini swala hilo litamuweka Zaidi mbali na baba yake , jambo ambalo hataki litokee kwani aliamini …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments