“Dady Stop..”Aliingialia Ashley akimtuliza Raisi Senga .
“Blandina nikuweke wazi tu , haitokuja siku nikamtambua Roma kama mwanangu na sitokuja kutambua kama nishawahi kuzaa na mwanamke kahaba kama wewe”Yalikuwa ni maneno mazito mno Kwenda kwa Blandina , lakini hata hivyo Blandina alionekana kuwa katika hali ya utulivu.
“Ni kweli Senga , unaweza kunitukana uwezavyo lakini chonde chonde usimtukane mtoto wako kwani unajitafutia laana, nitukane mimi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments