Damasi hakuamini kama Roma anaweza kumuwekea ngumu , licha ya kwamba alijitoa kimasomaso kupiga magoti ili mradi tu mwanae kuponyeshwa ugonjwa wa kupalalaizi , mwanamama huyu moyo wake uliuma mara baaada ya kusikia jibu la Roma kwamba hawezi kumsaidia.
“Roma tafadhari naomba umsaidie Denisi , najua amefanya makosa na ndio maana mimi mama yake nimepiga magoti kuomba msamaha , naomba uniadhibu mimi na sio mwanangu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments