Mheshimiwa Senga licha ya kwamba aliuliza swali lake lakini kwenye akili yake alikuwa akiamini watu wanaohusika na ibada ya Mpasuko wa mwezi walikuwa ni hatari mno kutokana na kujipandikiza kila mahali , hivyo hata swali lake la juu ya Roma aliamini kabisa watu hao watakuwa na majibu , lakini kabla ya kuweza wazi kile alichokuwa akikifahamu kuhusu Roma hakutaka kukiweka wazi moja kwa moja , …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments