Roma hakutaka kumdhuru Raisi Jeremy , alichokifanya ni kujaribu kumuonya tu na ndio maana baada ya walinzi kuingia alimwachia na kisha kutoka , walinzi walitaka kumzuia Roma , lakini Raisi Jeremy aliwapa ishara ya kumuacha aondoke zake.
Mazungumzo yalianza kwenye muda wa saa kumi na mbili hivyo mpaka Roma kumaliza kuongea na raisi Jeremy ilikuwa ni saa kumi na nusu ikimaanisha kwamba wametumia lisaa limoja …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments