Reader Settings

Saa moja na nusu ndio muda ambao Roma alirejea nyumbani , alionekana mudi yake imerudi na hio yote ni kutokana na kwamba yeye na Nasra mapenzi yao yamerudi kama zamani na ashatuliza hasira zote za mrembo huyo na mipango yao ya kwenda kijijini ilikuwa ikiendelea na zilikuwa zimebaki takribani wiki mbili mpaka kufikia siku yenyewe.

Mama yake Roma siku hio alionekana hakuwa nyumbani, lakini hakujali …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next