Reader Settings

Haikueleweka Edna alikuwa ndani ya eneo hilo la Mlimani City kwa ajili ya kufanya nini, alimwangalia Roma aliekuwa anamvalisha Rose kiatu kwa sekunde kadhaa na kisha alisonga mbele pasipo ya kuongea neno , ni kama alimpuuza Roma.

Upande wa Rose mwenyewe hakuwahi kuonana kabisa na Edna na kwa na siku hio ndio kwa mara ya kwanza anaonana nae na alihusudu urembo aliokuwa nao mwanamke wa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next