Edna ambaye hakumhofia Desmond alisogea kwa hatua za taratibu lakini za kupendeza mpaka akalikaribia gari lake na pasipo ya kutaka kuongea lolote alifungua gari lake kwa ajili ya kuingia.
“Edna..!!”Aliita Desmond na kumfanya Edna ashangae baada ya kugundua Desmond kapiga magoti chini.
“Unafanya nini Desmond?”
“Nipo hapa kwa kukuomba msamaha Edna kwa kilichotokea siku ile mpaka ukakasirika , hayakuwa makusudi yangu bali ni hisia ndio …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments