Edna alikaa kimya kidogo pasipo kuongea huku akimwangalia Roma , alikuwa akiweka karata zake vizuri.
“Nitakuacha uendelee na wanawake wako wote kwasasa na sitokuingilia kwa chochote”Aliongea Edna na kumfanya moyo wa Roma kutabasamu na kuona yes dili hilo lilikuwa zuri , lakini hata hivyo aliwaza Edna na yeye ananufaika vipi kwenye hilo dili.
“Na wewe unapata nini?”
“Nitakaa na Lanlan kwa muda wa siku ishirini …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments