Reader Settings

Roma alifanikuwa kufika uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere na akakutana na Suzzane ambaye alimkabidhi tiketi yake pasipo ya maneno mengi na

Suzzane ndio alirudi nyumbani na gari ya Roma.

Dakika ishirini zilimtosha kabisa Roma kufuata taratibu zote za kiusafiri ndani ya uwanja huu kwa ajili ya kuelekea Japani.

Tanzania hakukuwa na ndege ambayo ilikuwa ikiondoka moja kwa moja kwenda Hokkaido , hivyo ilikuwa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next