Reader Settings

Kwa Upande wa mwanamke ambaye Roma anamuona kama Seventeen ni kama alikuwa akimtegemea kabisa Roma na ndio maana baada ya kufungua mlango , licha ya Roma kuonyesha hali ya mshangao yeye alimpa ishara ya kuingia ndani , yaani hakukuwa na maswali kama umekuja kufanya nini hapa na mengineyo, yaani ilikuwa ni kama mwanamke yule alikuwa akimfahamu Roma muda mrefu na haikuonyesha ishara yoyote kama walikuwa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next