Reader Settings

Mpango wa Roma kuchomwa kisu uliandaliwa kutoka mbali na ulikuwa ni mpango wa siku nyingi sana.

Muda ambao Roma alikuwa akitoka Tanzania akipanda ndege ya Shirika la Qatar Airways kuelekea Japani alikuwa akifuatiliwa kwa usiri sana na vijana wawili ambao walikwa kwenye gari nyeusi aina ya Toyota Crown, na hata ndege wakati inapaa mmoja ya vijana hao , mjapani alitoa simu yake na kupiga na …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next