Alikuwa ni mwanaume mmoja hivi mrefu wa kijapani ambaye kwa muonekano wake ki umri sio chini ya miaka sabini hivi , Roma baadaya kuona sura ya mwanaume huyo hapo hapo aliweza kumfahamu , alikuwa ni Noriko Okkawa mkuu wa kundi la Yamata Sect.
“Both of us we used to be in zeros organisation , even though we weren’t close , I understand you more than …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments