Dodi Fayezi licha ya kwamba Amina alimsaliti kwa kulala na Roma Ramoni na kuvunja sheria za kiutamaduni za familia yao , lakini kwake kumuoa mwanamke huyo lilikuwa ni jambo la lazima kufanyika.
Sasa haikueleweka aliokuwa nayo ni mapenzi ama ni ‘Obsession’ ya kutaka kummiliki mrembo Amina , ila aliapia kwa miungu yote lazima atimize azma yake ya kumuoa Amina.
Familia ya Dodi Fayezi , yaani …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments