Reader Settings

Ni siku mbili sasa upande wa Tanzania , licha ya kwamba Edna hakupata taarifa yoyote kutoka kwa Roma , lakini alionekana kutokuwa na wasiwasi kabisa , alikuwa akiamini kwamba hakuna baya lolote ambalo litamkuta Roma , kwani kwa jinsi alivyokuwa akimfahamu aliamini ndani ya dunia hii Roma ni kiumbe cha pekee sana ambaye hakuna binadamu wa kawaida anaweza kumdhuru.

Edna alikuwa ni moja ya watu …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next