Reader Settings

Roma ilibidi kwanza ambembeleze mrembo Clark kwanza ili kufahamu ni kitu gani kapata kwenye majaribio ya damu yake, lakini licha ya kumbembeleza ,mrembo huyo bado alionekana kuwa na wasiwasi sana.

“Roma niambie , imekuwaje ukalishwa kitu cha ajabu namna hii?”Aliuliza Clark huku akimwangalia kwa macho yenye wasiwasi.

Roma ilibidi aanze kumueleza kila kitu kwanzia sababu ya kuja Japani lakini pia namna ambavyo amekutana na Seventeen …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next