Reader Settings

“Babe Wifey , mnaendeleaje huko Tanzania, nimekumiss sana mke wangu kipenzi”Aliongea Roma , lakini hakukuwa na jibu upande wa pili na kumfanya kutoa simu sikioni na kuangalia kama imekatwa , lakini aligundua simu haijakatwa.

“Wife muda si mrefu nitarudi Tanzania , nipo Hokkaido huku , niambie unataka nikuletee zawadi gani wewe na Lanlan , Unataka pete ya Almasi yanye ukubwa kama jicho , vipi kuhusu …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next