Reader Settings

Upande wa Tanzania wakati mheshimiwa Kigombola anawasiliana na Yan Buwen ilikuwa ni usiku wa manane , yaani wa kuamkia siku ya tarehe ishirini na sita.

Yan Buwen mara baada ya kuongea na simu na mheshimiwa Kigombola alijikuta akicheka sana , akicheka kiasi kwamba hata mwanamke wa Kitanzania aliekuwa juu ya kitanda kushangazwa na namna mchina huyo alivyokuwa akicheka.

“Hades kesho lazima nifanye jambo ambalo litakuachia …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next