Dakika kama tano hivi zilipita tokea Salah kuondoka , Ytan buwen aliekuwa ndani ya chumba ambacho alikuwa amelazwa Salah akimfanyia matibabu , alisogelea na kushika kijichupa ambacho ndani yake kilikuwa na kimiminika cha rangi nyeusi na kukiangalia kwa namna ya kama mtu ambaye alikuwa akishangaa.
Jambo moja ambalo lilikuwa likipita katika kichwa cha Yan Buwen ni juu ya kimiminika hiko , ukweli ni kwamba hakuwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments