Roma aliona sasa ni muda sahihi w kufanya kile ambacho kimemleta Japani , ndoa ya Amina ilikuwa ikitarajiwa kuanza siku ya kesho yake asubuhi , hivyo aliona inambidi kuwahi kabla ya hatua za mwisho za maandalizi , ijapokuwa hakupokea meseji tena kutoka kwa mrembo Amina juu ya kuomba msaada lakini kwa taarifa alizokuwa nazo aliona ni jambo la lazima kumuokoa mrembo huyo katika kufunga ndoa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments