Baada ya Fayezi kutoka ndani ya chumba cha Mke wake Mtarajiwa Amina , alitoka kabisa ndani ya hoteli hio akiwa ametangulizana na wanajeshi wawili kutoka kikosi maalumu ambao wote wamekodiwa na familia yake kwa ajili ya kumpa ulinzi, wote wakiwa wamevalia suti.
Dakika chache mbele walikuja kusimamisha magari yao mawili upande wa pili ndani ya jiji hili la Otaru ,sehemu maarufu sana iliokuwa ikisifika kwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments