Reader Settings

Uwepo wa Lanlan kwenye Maisha ya Edna ni kama ulimbadilisha kwa asilimia mia moja , kwanza kabisa ratiba za Edna zilibadilika hakuwa mtu wa kufanya kazi kwa masaa mengi kama ilivyokuwa mwanzo , Edna alikuwa kila ikifika saa tisa na nusu tayari atakuwa njiani akiwa na zawadi akirudi nyumbani kwa ajili ya kumuona Lanlan.

Hisia za kuwa mama kwake zilimfanya hata baadhi ya mawazo aliokuwa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next