Wakati hayo mengine yakiendelea huko Japani , upandewa taifa la Tanzania ikiwa ni usiku Edna na wanafamilia wake walikuwa wamekaa eneo la sebuleni huku macho yote yakiwa kwa Christine mrembo, msanii maarufu kutoka Marekani.
Wanafamilia hawa baadhi yao hawakuwa wakiamini kwamba wapo kwenye nyumba moja na Star mkubwa duniani ambaye alikuwa akihusudwa na wengi.
Yezi , Sophia na Qiang walikuwa ni wenye kusahau kabisa baadhi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments