Ilionekana Dhahiri kwamba watu wote waliokuwa juu ya meli hio ya kifahari walikuwa wakionekana kwA ukaribu kabisa kutoka kwenye meli ya kivita iliokuwa ikiongozwa na Makedoni, kwani baada ya Khalifa kuonyesha Tatoo iliokuwa kwenye mgongo wake kulitokea kimya cha takribani dakika kama mbili hivi mpaka sauti ya Kapteni Makedoni kusikika tena.
Watu waliokuwa ni wageni ndani ya hili eneo hawakuwa na uelewa wa aina yoyote …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments