Wakati Edna akishangaa kurudi kwa ghafla kwa Roma , Christine ambaye alikuwa amejilaza kwenye sofa alikuwa alishahisi uwepo wa Hades tokea muda mrefu sana tu na ndio maana baada ya kusikia kauli ya Roma kwamba amerudi alinyanyuka haraka haraka na Kwenda kumkumbatia Roma pasipo kumjali mke wake na kitendo hicho ndio kilichomduwaza Roma , kwani hakukitegemea na aliishia kumwangalia Edna.
Wanafamlia wote waliokuwa nyumbani kasoro …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments