Edna alitaka kuleta upinzani mbele ya Roma , lakini Hades ni kama alikuwa ashatarajia kuletewa upinzani, alichokifanya ni kumgeuza Edna na kumwangalia usoni na walijikuta macho yao yakigongana na wote kwa pamoja waliangaliana na kadri sekunde zilivyokuwa zikihesabu ndio sura zao zilivyokuwa zikisogeleana.
Edna mwenyewe alishindwa kujielewa ni kweli alikuwa na hasira na Roma , lakini kwa jinsi alivyokuwa akijisikia alishindwa kujizuia na walijikuta midomo …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments