Muda huo huo ambao Roma alikuwa akiingia Kigamboni , upande wa Ikulu ya Dar Es salaam , alionekana mheshimiwa Raisi Senga akiwa kwenye ofisi yake akiendelea na majukumu yake kama kawaida, alionekana kuwa bize mno.
Mheshimiwa huyu licha ya kwamba alikuwa na baadhi ya madhaifu , lakini likija swala la kulitumikia taifa alikuwa akijitahidi mno, kwani ni ahadi nyingi sana ambazo aliahidi kwa wananchi na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments