Mwanamke yule aliinuka alipoketi pasipo yakuwa na wasiwasi kabisa , ni kama vile alikuwa nyumbani kwake na alipogeuka sasa ndio Dorisi aliweza kumuona mwanamke huyu mrembo sana ambaye kwa haraka haraka aliamini sio raia wa Tanzania.
“Who Are you?”Aliuliza Dorisi kwa lugha sasa ya kingereza.
“Jina langu ni Cleria Allisanto”Aliongea yule mwanamke huku akimsogelea Dorisi akiwa ameupamba uso wake na tabasamu na alitumia Lugha ya …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments